NatureCare East Africa

Empower Health Naturally

NatureCare tunawafundisha watu jinsi ya kutumia sayansi ya mtindo wa maisha, chakula na mimea kukinga na kutibu magonjwa yao.

Dr Nature (Yusufu Mohamed Filemon) mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo amekuwa akijitoa sana kufundisha jamii kupitia mitandao ya kijamii.

Dr Nature ni mwandishi wa vitabu na hivi punde atazindua kitabu chake kinachoitwa AFYA YA UZAZI YA MWANAUME IMEFANYWA KAMILI. Ni daktari mwanafunzi katika chuo kikuu cha tiba kishiriki cha KCMC Moshi, Tanzania.

Anayo ndoto ya kuikomboa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla katika suala la Afya. Kwa sababu ndio kwanza anaanza, bado anayosafari ndefu ya kufikia malengo yake. Kama mdau wa maendelea unaweza kumuunga mkono kwa namna moja au nyingine. Wasiliana naye kupitia dr.nature@naturecare.co.tz

MOTO

Kuwasaidia watu kuimarisha afya zao kwa njia za asili.

NJOZI

Kuwa kampuni bora Afrika Mashariki linalotoa huduma bora za afya kwa kutumia njia za asili kwa gharama nafuu.

LENGO

Kuiokoa Afrika Mashariki na mzigo mkubwa wa magonjwa ambao ungeweza kuepukika au kutibika kirahisi.

Dr Nature

Video za Mafunzo ya Afya Kutoka kwa Dr Nature - YouTube