Kuhusu NatureCare
- Home
- Kuhusu NatureCare
NatureCare East Africa
NatureCare tunawafundisha watu jinsi ya kutumia sayansi ya mtindo wa maisha, chakula na mimea kukinga na kutibu magonjwa yao.
Dr Nature (Yusufu Mohamed Filemon) mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo amekuwa akijitoa sana kufundisha jamii kupitia mitandao ya kijamii.
- YouTube – Channel @Dr Nature
- Facebook page- Afya na Maisha Bora
- Tovuti: www.naturecare.co.tz
Dr Nature ni mwandishi wa vitabu na hivi punde atazindua kitabu chake kinachoitwa AFYA YA UZAZI YA MWANAUME IMEFANYWA KAMILI. Ni daktari mwanafunzi katika chuo kikuu cha tiba kishiriki cha KCMC Moshi, Tanzania.
Anayo ndoto ya kuikomboa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla katika suala la Afya. Kwa sababu ndio kwanza anaanza, bado anayosafari ndefu ya kufikia malengo yake. Kama mdau wa maendelea unaweza kumuunga mkono kwa namna moja au nyingine. Wasiliana naye kupitia dr.nature@naturecare.co.tz
